Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Michezo

LONDON, UingerezaTimu ya soka ya wanawake ya Jersey Bulls, imefanikiwa kuizaba Guildford Saints mabao 30-0, katika mechi ya Ligi ya Soka ya Wanawake ya Kaunti…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Panenka ni mbinu maalumu ya kupiga penati katika mpira wa miguu, ambapo mchezaji hupiga mpira kwa upole na kwa…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Klabu ya soka ya Singida Black Stars, imesema kwamba ilishindwa kujizuia baada ya ofa nzito kutoka Simba SC, iliyomtaka…
DAR ES SALAAM, Na Arone Mpanduka Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars, Ally Mayay, amesema kuwa marehemu Peter Manyika amemuachia elimu kubwa ya soka, hasa…
DAR ES SALAAM Arone Mpanduka Michel Kuka Mboladinga, ambaye pia anajulikana kama Michel Kuka, Michel Nkuka, au kwa jina la utani “Lumumba” na “Lumumba Vea”,…
London, UingerezaKiungo wa kati wa Tottenham, Rodrigo Bentancur, anahitaji upasuaji wa misuli ya paja, na anatarajiwa kukosa angalau miezi mitatu.Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay,…
London, UingerezaMshindi wa fainali wa zamani wa Wimbledon, Milos Raonic, alisema kwamba amekuwa mtu mwenye bahati zaidi kutimiza ndoto zake, alipotangaza kustaafu kutoka tenisi.Mkanada huyo…
DAR ES SALAAM Na Nicolaus Kilowoko Kocha Mkuu wa klabu ya soka ya Simba, raia wa Afrika Kusini Steven Barker, baada ya kuiongoza klabu hiyo…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT), limeandaa mikakati ya kumleta bondia maarufu duniani, Manny Pacquiao, nchini Tanzania, kwa ajili ya…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Klabu ya Singida Black Stars, imesema kuwa haina ukaribu wala urafiki wowote na klabu ya Yanga, hasa kwenye kupeana…
Page 1 of 17