Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

‘Yesu ni Njia ya Ukweli msitangetange’

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Rita wa Kashia-Goba Mwisho, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Musa Kihoo (aliyeshika Msalaba) akiwalika Waamini kwenye Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu, Kuabudu Msalaba Mtakatifu iliyofanyika parokiani hapo. Kulia ni Paroko Msaidizi, Padri Fidelis Safari Mushi na Kulia ni Shemasi Kanuth Nyoni. (Picha na Yohana Kasosi) Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Rita wa Kashia-Goba Mwisho, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Musa Kihoo (aliyeshika Msalaba) akiwalika Waamini kwenye Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu, Kuabudu Msalaba Mtakatifu iliyofanyika parokiani hapo. Kulia ni Paroko Msaidizi, Padri Fidelis Safari Mushi na Kulia ni Shemasi Kanuth Nyoni. (Picha na Yohana Kasosi)

Dar es Salaam

Na Mwandishi wetu

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Rita wa Kashia-Goba Mwisho, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Musa Kihoo, amewataka Waamini kufuata mafundisho ya Bwana Yesu Kristo, kwa sababu  yeye ni njia ya ukweli ya kwenda Mbinguni.
Padri Kihoo alisema hayo wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu, Kuabudu Msalaba Mtakatifu iliyofanyika parokiani hapo.
Padri Kihoo alisema kwamba Waamini wengi wanamchukiza Bwana Yesu Kristo kwa kutenda dhambi, ikiwemo kusema uwongo, umbeya, kusengenya wenzao, kunyanyasa wapangaji na ujambazi.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.