Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Simba Inaumwa Kweli! Dawa anayo ‘Mchawi’, Udhaifu wa ulinzi, ushambuliaji wafichuka

Mlinzi wa Timu ya Azam Fc, Pachal Msindo akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Simba, Moses Abraham wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mlinzi wa Timu ya Azam Fc, Pachal Msindo akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Simba, Moses Abraham wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mwanza

Na Paul Charles Mabuga 

Kichapo cha 2-0 kutoka kwa Azam FC, si tu kwamba kimepunguza kasi ya Simba kwenye mbio za ubingwa, bali kimetupa picha ya kutisha: Simba inaumwa, na wapinzani wamegundua dawa ya ugonjwa wake.

Matokeo haya yanazua swali gumu: Je, timu hii imegeuka kuwa Mnyama wa Karatasi? Uchambuzi huu unakwenda ndani kabisa, ukifichua kwa nini udhaifu mmoja unajirudia, na jinsi benchi la ufundi linavyoshindwa kuleta ufumbuzi, dhidi ya mbinu za kisasa za mpinzani. Hii ni muhimu kwa kuwa timu imefungwa namna ile ile, kama ilivyotokea kwa Stade Malien.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.