Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Askofu Ruwa’ichi: Vijana Wakatoliki ‘feki’ wapuuzwe

Kwaya ya Walezi wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wakiimba katika Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa walezi hao iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Gaspar Del Bufalo-Mbezi Beach. (Picha na Simon Peter) Kwaya ya Walezi wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wakiimba katika Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa walezi hao iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Gaspar Del Bufalo-Mbezi Beach. (Picha na Simon Peter)

DAR ES SALAAM

Na Mwandishi wetu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amewataka walezi kuwapuuza vijana wanaojiita Wakatoliki, na kulipinga Kanisa Katoliki kuwa ni ‘fake’, na Ukristo wao hauna mizizi.
Askofu Mkuu Ruwa’ichi alitoa wito huo hivi karibuni wakati akitoa homilia yake, katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani ya Walezi wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu Jimbo, iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Gaspar –Mbezi Beach.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.