Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Vatican yaagiza umoja katika Kanisa

 Mwadhama Pietro Kardinali Parolin, Katibu Mkuu wa Vatican akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 1200 ya Utume wa Mtakatifu Ansgar nchini Denmark. Mwadhama Pietro Kardinali Parolin, Katibu Mkuu wa Vatican akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 1200 ya Utume wa Mtakatifu Ansgar nchini Denmark.

VATICAN CITY,Vatican

Mwadhama Pietro Kardinali Parolin, Katibu Mkuu wa Vatican, ametoa wito kwa Waamini kuona umuhimu wa umoja, kwani umoja katika Kanisa ni zawadi, na kwamba neema si upendeleo bali ni huduma.
Kardinali Parolin aliyasema hayo hivi karibuni, akiwa nchini Denmark kwa siku mbili, kama mjumbe wa Baba Mtakatifu Leo XIV, kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 1200, ya kuanza kwa utume wa Mtakatifu Ansgar, ambapo alitumia nafasi hiyo pia kuwatia moyo Wakristo, kufanya mazoezi kila wanapopata nafasi

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.