Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Dk. Mwigulu ataka Taasisi kuacha matumizi mabaya fedha za Umma

Waziri Mkuu Dk.Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) akisikiliza maelezo ya watendaji wakati alipozungumza na Wananchi,baada ya kuzindua Meli ya Mv.New Mwanza,katika Bandari ya Mwanza South. Waziri Mkuu Dk.Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) akisikiliza maelezo ya watendaji wakati alipozungumza na Wananchi,baada ya kuzindua Meli ya Mv.New Mwanza,katika Bandari ya Mwanza South.

MWANZA

Na Mwandishi wetu

Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amezitaka Wizara, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa, Taasisi na Mashirika ya Umma nchini, kuacha matumizi yasiyo ya lazima ili kuokoa fedha, zitakazoiwezesha Serikali kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo.
Dk. Mwigulu alitaja baadhi ya matumizi yasiyokuwa ya lazima, ikiwemo ununuzi wa magari mapya, wakati yaliyopo yanaweza kuendelea kutoa huduma, kuchapisha kalenda na kununua vifurushi vya zawadi.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.