Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Wapangaji matokeo michezoni kukiona

Katibu wa Mashindano ya Kombe la FA Zanzibar, Ali Bakari. Katibu wa Mashindano ya Kombe la FA Zanzibar, Ali Bakari.

Dar es Salaam

Na Nicolaus Kilowoko

Wakati kukiwa na uchunguzi wa vitendo vya upangaji wa matokeo, katika mashindano mbalimbali ya soka Tanzania Bara, huko visiwani Zanzibar, viongozi wa soka wameanza kuwashughulikia wale wote wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Katibu wa Mashindano ya Kombe la FA Zanzibar, Ali Bakari, alielezea namna timu zinavyojihusisha na upangaji wa matokeo, katika mashindano ya Kombe la Shirikisho, na kutolea mfano timu waliyoifungia ya Taifa Jang’ombe, kutokana na kupanga matokeo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.