Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Nyumbani

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Padri Wilbroad Henry Kibozi kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.Askofu Mteule Kibozi…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiwabariki Watawa wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya…
DAR ES SALAAM NA MATHAYO KIJAZI Watawa nchini Tanzania wametakiwa kutokengeuka, wakidhani mahali walipo wamepotea njia, bali watambue kuwa wanapaswa kuyaishi yale waliyoyapokea kwa furaha,…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Wakristo wametakiwa kufuata nyayo za Mtakatifu Theresa wa Kalkuta za kuwasaidia watu wenye uhitaji, hasa wanaoteseka kiroho, ili wawapatie…
NA MATHAYO KIJAZI Wakati Redio Tumaini ikiadhimisha Jubilei ya Miaka 30 tangu kuanzishwa kwake maadhimisho ambayo yameonekana kufana, imeelezwa kuwa mtu anayetunza afya ya akili,…
NA MWANDISHI WETU Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko - Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Daniel Kilala amesema kuwa kila…
NA CELINA MATUJA Imeelezwa kuwa waamini wanashindwa kupata mafanikio katika maisha ya kiroho na kimwili kutokana na kusali kwa mazoea.Hayo yalisemwa na Mlezi wa Karismatiki…
NA MWANDISHI WETU Mtandao wa Jinsia Tanzania (Tanzania Gender Networking Program: TGNP) umesema kwamba utaendelea kutekeleza kwa kishindo mpango wake wa kupinga vitendo vya ukatili…
DAR ES SALAAM Na Gaudence Hyera Wanawake wameaswa kupokea kwa ukarimu, furaha na upendo zawadi ya uzao wanayojaliwa na Mungu, hata kama uzao huo umepatikana…
ZANZIBAR Na Mwandishi wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu, iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, yenye uwezo wa kuhudumia…
Page 5 of 9