Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Nyumbani

MAFIA Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata…
DODOMA Na Mwandishi wetu Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda (pichani) amefariki dunia katika ajali ambayo imetokea eneo la Njia panda ya KIA, Wilaya…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, amewaasa Wasimamizi wa vijana wa Sakramenti…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Bonaventura - Kinyerezi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Francis Hiza, amewataka…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, amesema kuwa watu wanaolitangaza jina…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Benki ya Biashara ya Mkombozi imepandishwa hadhi kutoka Soko la Ukuzaji Mitaji la Dar es Salaam Stoke Exchange(DSE) (EGM)…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amesema kuwa Pendekoste ni mwanzo…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, itaendelea kushirikiana na Jumuiya ya Wasioona…
UZINDUZI MWEZI MOYO MTAKATIFU WA YESU Maasi yaibua mjadala Askofu: Dunia ingekuwa basi, abiria wote wangeshuka DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Imeelezwa kuwa Dunia…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Vijana wameonywa kuacha kuiga tamaduni zisizofaa, ikiwemo wanaume kuvaa hereni na kusuka nywele zao.Aidha, wametakiwa kudumu katika imani, wakitambua…