Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Na Pd. Richard Mjigwa Siku ya Kuombea Utunzaji Bora wa Mazingira kwa mwaka 2022, imebebwa na Kauli mbiu: “Sikilizeni Kilio cha Kazi ya Uumbaji.”Baba Mtakatifu Fransisko anakazia wongofu wa kiikolojia;…
Frateri Gabriel Mtiti akiweka Nadhiri zake za Kwanza mbele ya Padri Dominic Somola, Mwakilishi wa Mkuu wa Shirika la Bikira Maria wa Mlima Karmeli nchini Tanzania, katika Adhimisho la Misa…
Waamini na Masista kutoka Majimbo Katoliki mbalimbali nchini Tanzania, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuweka Nadhiri za Kwanza na za Daima, kwa Mafrateri wa Shirika la Bikira Maria…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliopata Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Bikira Maria…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko Savio, Mikoroshoni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa wamemshika mbuzi kwa ajili ya zawadi kwa Askofu Mkuu wa Jimbo hilo Mhashamu Jude…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (mwenye fimbo ya Kiaskofu), na Mapadri, wakiwa katika picha ya pamoja na vijana walioimarishwa katika Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Michael Malaika…
Katika safu hii ya Chimba Chimba Historia ya Kanisa wiki iliyyopita, tuliwaletea jinsi Kanisa lilivyoanzisha Sheria za Kuendesha Kanisa. Leo tunawaletea jinsi Mashirika ya Kitawa yalivyoimarisha mwamko wa Ukristo Duniani.Sasa…
Mapadri, Viongozi wa Serikali, Kamati Tendaji, ya Parokia, wakiwa katika picha ya pamoja na Waamini na wanakwaya wa Parokia ya Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe, Mwenge, Jimbo Kuu Katoliki la Dar…
Page 15 of 15