Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Vijana Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiweka ubani katika vyombo ili kufukiza, wakati wa Kutabaruku Kanisa na Altare katika Adhimisho la Misa…
SAKA (SALA NA KAZI) DODOMA Na Gaudence Hyera Miongoni mwa Parokia zinazounda Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma ni ya Parokia ya Watakatifu Wote, Nzuguni, ambayo inatarajiwa kuadhimisha miaka mitatu Novemba…
Masista na Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose Tagaste, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kutoa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, iliyofanyika parokiani…
Baadhi ya Vijana waliopata Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, wa parokia ya Mtakatifu Ambrose Tagaste, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose Tagaste, na…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Nicholaus wa Tolentino, Msingwa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara hivi karibuni parokiani hapo.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, akiwa katika picha ya pamoja na Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA) Parokia ya Mtakatifu Nicholaus Tolentino,…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (katikati) na Mapadri, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Halmashauri ya Walei…