Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

ZOMBA, MalawiJimbo Katoliki la Zomba nchini Malawi limetoa msaada wa unga wa mahindi uliosindikwa kwa watu walioathirika na njaa katika jimbo hilo.Akizungumza wakati wa kuchangia…
ZOMBA, MalawiWatoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu, Jimbo Katoliki la Zomba nchini Malawi, wamewaomba Viongozi wa Kanisa hilo kuwapa nafasi ya kutekeleza majukumu…
NAIROBI, Kenya Baraza la Maaskofu wa Afrika na Madagaska (Symposium of Episcopal Conferences of Africa and Madagascar: SECAM) barani Afrika, wametangaza msimamo wao na kudumisha…
VATICAN CITY, VaticanKatika mahojiano kwenye kipindi cha luninga cha Italia,Papa Fransisko alisikitikia hatari ya kuongezeka kwa vita katika kona mbalimbali za dunia.Aidha, alielezea jinsi ambavyo…
LIRA, Uganda Uamuzi wa kujenga Parokia nyingi katika Jimbo la Lira nchini Uganda, umetajwa kuleta msisimko na shangwe miongoni mwa Wakristo ndani na nje ya…
LIRA, UgandaAskofu wa Jimbo Katoliki la Lira Kaskazini mwa Uganda, Mhashamu Sanctus Lino Wanok, ameonya dhidi ya unywaji pombe kupita kiasi unaofanywa na Makatekista na…
LUSAKA, ZambiaRais wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Zambia, Zambia Conference of Catholic Bishops (ZCCB), Askofu Mkuu Mhashamu Ignatius Chama amewataka vijana waliohitimu Chuo Kikuu…
ZOMBA, Malawi Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Padri Alfred Mateyu Chaima kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Zomba, nchini Malawi.Baraza la Maaskofu Katoliki wa Malawi…
LUSAKA, ZambiaBaba Mtakatifu Fransisko ametangaza uteuzi wa Balozi mpya wa Kitume kwa nchi mbili katika Jumuiya ya Mabaraza ya Maaskofu Wanachama katika eneo la Mashariki…
NAIROBI, KenyaWajumbe wa Jumuiya ya Kikatoliki ya Kuhudumia Watoto (CCC) imewaleta pamoja washiriki kutoka sehemu mbalimbali za Dunia, wakiwemo Maaskofu, Dini, Wakleri, Walei na washirika…
Page 5 of 6