Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

VATICANCITY, Vatican Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Baba Mtakatifu Leo XIV, anatarajia kutembelea na kuzindua sehemu iliyoanzishwa kwa matakwa ya hayati Papa Fransisko, sanjari na…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Leo XIV, hivi karibuni amekutana na wahudumu wa altareni wapatao 360 kutoka Ufaransa, katika fursa ya hija yao jijini Roma,…
NAIROBI, Kenya Katibu Mkuu wa Chama cha Mabaraza ya Maaskofu Wanachama Afrika Mashariki (AMECEA), Padri Anthony Makunde wakati wa uzinduzi wa Sera ya Mawasiliano ya…
NAIROBI, Kenya Chama cha Wanachama wa Mabaraza ya Maaskofu Afrika Mashariki (AMECEA), kimezindua Sera yake ya Mawasiliano na kuzindua Programu mpya ya redio ya kidijitali.Afisa…
VATICANCITY, Vatican Kiongozi wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni, Baba Mtakatifu Leo XIV, amesema kuwa Ekaristi ni Sakramenti ya upendo, zawadi na sadaka ya Kristo Yesu msalabani.Papa…
VATICAN CITY-VaticanMaadhimisho ya kumtangaza Mwenyeheri Carlo Acutis kuwa Mtakatifu yamesitishwa kufuatia kifo cha Papa Fransisko.Maadhimisho hayo yaliyokuwa yafanyike Dominika ya Aprili 27, mwaka huu yamesitishwa…
VATICAN City Mkutano Mkuu wa kwanza wa Makardinali umeanza Aprili 22 mwaka huu, ikiwa ni siku moja baada ya kifo cha Baba Mtakatifu Fransisko.Mkutano huo…
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF), limeahidi kuendelea kuwekeza kwenye teknolojia ya Msaidizi wa Video (VAR) kwa kutoa elimu…
Watawa wawili wa Shirika la Dada Wadogo wa Mtakatifu Teresa waliokuwa wakifanya kazi katika shule moja huko Mirebalais, nchini Haiti, wameuawa na magenge yenye silaha…
Mansa, ZambiaParokia ya Mtakatifu Michael – Namwandwe, na Kanisa Kuu la Kupalizwa kwa Maria, Jimbo Katoliki la Mansa, imezindua rasmi Wiki ya Wagonjwa, mpango unaozingatia…
Page 1 of 7