Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Stephano Musomba -OSA, akimbatiza mtoto Kiernani James katika Parokia ya Mtakatifu Boniventura, Kinyerezi jimboni humo wakati wa Adhimisho la…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akiumwagia maji mti baada ya kuupanda katika Parokia ya Mtakatifu Cesilia, Kisarawe II, Kigamboni jimboni humo. Wengine…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya…
Waamini kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaa, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 na 50 ya Upadri, iliyoadhimishwa…
Paroko wa Parokia ya Yohane wa Mungu – Yombo Vituka, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Patrick Bwakila akibariki matoleo wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika,…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu Wasaidizi wa Jimbo hilo, Mapadri Wanajubilei wa…
Paroko Msaidizi wa Parokia ya Parokia ya Mtakatifu Yosefu Allamano, Kibada, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Steven Nyilawila, akimpongeza Padri Ambrose Mosha OFMCap, kwa kutimiza Jubilei ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akiadhimisha Misa Takatifu ya Shukrani ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) kwenye viwanja vya Seminari ya Mtakatifu…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akiadhimisha Misa Takatifu ya Shukrani ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) kwenye viwanja vya Seminari ya Mtakatifu…