Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Baadhi ya Waoblate wa Shirika la Wabenediktini wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kupokelewa Waoblate wapya, na wengine kuweka Nadhiri zao za Daima, iliyoadhimishwa katika Parokia ya…
Baadhi ya Waoblate wa Shirika la Wabenediktini wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya kupokelewa Waoblate wapya, na wengine kuweka Nadhiri zao za Daima, iliyoadhimishwa…
Walezi wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa katika viwanja vya Hospitali ya Kardinali Rugambwa iliyopo Ukonga, jijini Dar es Salaam, walipokwenda…
Mlezi wa Shirika la Wazee na Wastaafu Katoliki wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Benedict Shayo, akibariki majitoleo ya Wazee na Wastaafu hao wakati wa Sala iliyofanyika katika…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (wa tatu kushoto), akikagua ujenzi wa kanisa lawa Mtoto Kigango cha Mtakatifu Theresia Yesu katika Parokia ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akibariki matoleo yaliyoletwa na waamini wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya Nne ya…
DAR ES SALAAM Na Pd. Audiphace Mujuni Maana ya MsalabaMsalaba wa Kristo ni Altare ya Agano Jipya linalotoa Sakramenti za Fumbo la Pasaka, Katekisimu ya Kanisa Katoliki (KKK) Na. 1182.…
Waamini wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozari Takatifu - Makongo Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika…
Msimamizi wa Kituo cha kulelea watoto (‘Children’s Home, Msimbazi’), Sista Stella Zavery akipokea misaada kutoka kwa Wazee na Wastaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam walipofranya matendo ya…