Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Waamini wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima, Kimara- Korogwe, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika parokiani hapo hivi karibuni.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Stephano Musomba (katikati mwenye fimbo ya kichungaji) pamoja na Mapadri wakiwa katika picha ya pamoja na waamini kutoka Parokia…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Bonaventura, Kinyerezi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Francis Hiza (katikati waliokaa), Paroko Msaidizi wa Parokia hiyo, Padri Benson Mapunda (kushoto kwa Paroko),…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam (mwenye kofia ya Kiaskofu), Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Polycarp Askofu na Shahidi, Kilamba, Padri…
Mafrateri wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Uzinduzi wa Utunzaji wa Mazingira katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu, jimboni humo.
Paroko Msaidizi wa Parokia ya Mtakatifu Thomas wa Akwino – Kipunguni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Nestory Damas akibariki Matawi yaliyoshikwa na Waamini wakati wa Adhimisho la…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (mwenye fimbo ya Kichungaji), Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (kulia kwa Askofu Mkuu), wakiwa katika picha ya…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Polycarp Askofu na Shahidi – Kilamba, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiimba wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya Matawi iliyoadhimishwa…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Thomas wa Akwino – Kipunguni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Matawi iliyoadhimishwa…