Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
DAR ES SALAAM Na Pd. Audiphace Mujuni Maana ya MsalabaMsalaba wa Kristo ni Altare ya Agano Jipya linalotoa Sakramenti za Fumbo la Pasaka, Katekisimu ya Kanisa Katoliki (KKK) Na. 1182.…
Waamini wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozari Takatifu - Makongo Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika…
Msimamizi wa Kituo cha kulelea watoto (‘Children’s Home, Msimbazi’), Sista Stella Zavery akipokea misaada kutoka kwa Wazee na Wastaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam walipofranya matendo ya…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akibariki vipaji wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya Nne ya Kwaresma iliyoadhimishwa katika Kigango…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) wa Parokia ya Mtakatifu Augustino, Salasala…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose, IPTL Salasala, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakibadilishana mawazo baada ya Adhimisho la Misa Takatifu iliyoadhimishwa parokiani hapo.
Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili, Tegeta Kibaoni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, na waamini wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, na Mapadri wakiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu…
Wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakisali kumshukuru Mungu baada ya Mkutano wao Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika Ukumbi…