Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Vincent Mpwaji (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Gaspar del Bufalo, Mbezi Beach wakati…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume, Vigozi, baada…
Waamini kutoka sehemu mbalimbali wakiwa katika Kongamano la Roho Mtakatifu lililofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Parokia ya Mtakatifu Antoni wa Padua – Vigoa, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu-Kilimahewa, Salasala Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Mick Mbuku (wa pili kulia) akiwa na Paroko wa Parokia ya Itimbya Jimbo…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Sesilia-Kisarawe II, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Rodger Kamuzinzi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Utume wa Wanaume Katoliki (UWAKA) parokia hiyo…
Kansela wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Hamilton Kikoti (katikati), Mapadri, Masista na Frateri wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Bikira…
Katika safu hii ya Chimba Chimba Historia ya Kanisa wikiiliyopita, tulianza kuwaletea historia ya Mtaguso Mkuu wa Trento uliokutana katika kipindi ambacho Kanisa lilikuwa na changamoto. Leo tunaendelea kuwaletea historia…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Sesilia-Kisarawe II, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Rodger Kamuzinzi (mwenye kanzu nyeupe) akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) wa…
Kansela wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Hamilton Kikoti (katikati), akiwasikiliza Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Rozari Takatifu Makongo Juu, Padri Musa Kihoo na Mwenyekiti wa Kamati…