Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

CCC yawajadili wanaokatili Watoto

Kikosi kazi kikijadili masuala ya watoto. Kikosi kazi kikijadili masuala ya watoto.

NAIROBI, Kenya
Wajumbe wa Jumuiya ya Kikatoliki ya Kuhudumia Watoto (CCC) imewaleta pamoja washiriki kutoka sehemu mbalimbali za Dunia, wakiwemo Maaskofu, Dini, Wakleri, Walei na washirika kutoka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Non-Governmental Organisations: NGOs), Wawakilishi wa Serikali, kutoka Vatican, na wale wa elimu, ili kujadili ukatiti dhidi ya watoto.
Hatua hiyo ya kuitishwa kwa mkutano huo ni kutokana na muhtasari wa utafiti wake, huku wakilenga kujadili pia njia ya kusonga mbele, ikilenga matokeo ya utafiti unaotoa mfumo wa ulinzi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika eneo la Afrika Mashariki.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.