Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Baadhi ya Vijana waliopata Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, wa parokia ya Mtakatifu Ambrose Tagaste, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose Tagaste, na…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Nicholaus wa Tolentino, Msingwa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara hivi karibuni parokiani hapo.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, akiwa katika picha ya pamoja na Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA) Parokia ya Mtakatifu Nicholaus Tolentino,…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (katikati) na Mapadri, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Halmashauri ya Walei…
Vijana wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima wa Karmeli, Bunju Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, walioimarishwa kwa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la…
Wanachama wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Misa Takatifu ya Sherehe ya Somo wao, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Moyo Mtakatifu…
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, akimpongeza Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kwa kuadhimisha Jubilei ya…
Waamini na Masista kutoka Majimbo Katoliki mbalimbali nchini Tanzania, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuweka Nadhiri za Kwanza na za Daima, kwa Mafrateri wa Shirika la Bikira Maria…