Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
MOSHI Na Mwandishi wetu Mkuu wa Jeshi la Polisi (Inspector General of Police: IGP) nchini, Camillus Wambura amesema kwamba takwimu za makosa makubwa ya jinai nchini yameongezeka katika kipindi cha…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamesema wamekumbwa na mashaka kuhusu matumizi ya michango yao.Kwa nyakati tofauti, wanachama hao wamesema hawana imani kama…
DODOMA Na Ndahani Lugunya Wakristo nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo, kuchangia Pato la Taifa, na kutatua changamoto katika maeneo yao.Hayo yalielezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiwauliza maswali vijana wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko Savio, Mikoroshoni, Jimboni humo kabla ya kuwapa Sakramenti…
Na Pd. Richard Mjigwa Siku ya Kuombea Utunzaji Bora wa Mazingira kwa mwaka 2022, imebebwa na Kauli mbiu: “Sikilizeni Kilio cha Kazi ya Uumbaji.”Baba Mtakatifu Fransisko anakazia wongofu wa kiikolojia;…
Frateri Gabriel Mtiti akiweka Nadhiri zake za Kwanza mbele ya Padri Dominic Somola, Mwakilishi wa Mkuu wa Shirika la Bikira Maria wa Mlima Karmeli nchini Tanzania, katika Adhimisho la Misa…
Waamini na Masista kutoka Majimbo Katoliki mbalimbali nchini Tanzania, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuweka Nadhiri za Kwanza na za Daima, kwa Mafrateri wa Shirika la Bikira Maria…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliopata Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Bikira Maria…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko Savio, Mikoroshoni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa wamemshika mbuzi kwa ajili ya zawadi kwa Askofu Mkuu wa Jimbo hilo Mhashamu Jude…