VIKINDU, PWANI Na Mathayo Kijazi Wagonjwa wametakiwa kumlilia Mungu ili awaponye matatizo yao, badala ya kutafuta msaada kwa waganga wa kienyeji, kwani Mungu ndiye anayesikia…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Mlezi na Mwalimu katika Seminari ya Mtakatifu Antoni wa Padua – Ntungamo, Jimbo Katoliki la Bukoba, Padri Roland Kashaga,…
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Padri Wilbroad Henry Kibozi kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.Askofu Mteule Kibozi…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiwabariki Watawa wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya…
DAR ES SALAAM NA MATHAYO KIJAZI Watawa nchini Tanzania wametakiwa kutokengeuka, wakidhani mahali walipo wamepotea njia, bali watambue kuwa wanapaswa kuyaishi yale waliyoyapokea kwa furaha,…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Wakristo wametakiwa kufuata nyayo za Mtakatifu Theresa wa Kalkuta za kuwasaidia watu wenye uhitaji, hasa wanaoteseka kiroho, ili wawapatie…
NA MATHAYO KIJAZI Wakati Redio Tumaini ikiadhimisha Jubilei ya Miaka 30 tangu kuanzishwa kwake maadhimisho ambayo yameonekana kufana, imeelezwa kuwa mtu anayetunza afya ya akili,…
NA CELINA MATUJA Imeelezwa kuwa waamini wanashindwa kupata mafanikio katika maisha ya kiroho na kimwili kutokana na kusali kwa mazoea.Hayo yalisemwa na Mlezi wa Karismatiki…